Ali Kamwe: Ukitembea mikoani hauna makombe wewe ni ‘Panya Road’

Ali Kamwe: Ukitembea mikoani hauna makombe wewe ni ‘Panya Road’

Ofisa Habari wa klabu ya Yanga, AliKamwe amesema ameshangazwa na baadhi ya wasemaji wa klabu ambao wamekuwa wakitembea mikoani bila makombe wala ushindi wa aina yoyote ambapo amewafananisha na panya road.

Kamwe ameyasema hayo mkoani Geita, wakati alipokuwa akizungumza na wanachama na mashabiki waliyojitokeza kupokea makombe ya klabu hiyo waliyoyapata msimu wa 2024/25

Hata hivyo Kamwe ameeleza kuwa msimu wa Ligi Kuu Bara ulioisha ulikuwa mgumu huku akiwashukuru mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo kwa mchango waliotoa katika kufanikisha ushindi wa ligi na Kombe la shirikisho (FA).
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags