Baada ya kuomba dhamana kwa takribani mara tatu bila mafanikio, hatimaye msanii wa Hip Hop Marekani Diddy Combs amekubali kubaki gerezani hadi pale kesi yake itakapoanza kusik...
Kuwa na muunganiko mzuri wa wasanii hufanya kazi zao kupendwa na kuwaletea mafanikio. Wengine hupenda kuita Duo ama Combo, wasanii hao wanakuwa sio kundi moja lakini mara zote...
Msanii nguli wa muziki wa hiphop kutoka Marekani, Calvin Cordozar “Snoop Dogg amewataja ma-rapa anaowakubali muda wote akiwemo Ice Cube.Snoop ameachia listi hiyo ya mast...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Marioo amefunguka ishu ya kufunga ndoa na mzazi mwenzie Paula Kajala, kwa kuweka wazi kuwafanya hivyo hivi karibuni kwani Paula amekubali kubadili d...
Ukiwa ni muendelezo wa kukabiliana na kiwango cha chini cha uzazi nchini Korea Kusini, Wilaya ya Saha, Busan inampango wa kuwalipa wakazi wa eneo hilo watakao kubali kuchumbia...
Mwigizaji kutoka Marekani Jamie Foxx ameiomba mahakama kutupilia mbali kesi iliyofunguliwa dhidi yake na mwanamke aliyemshutumu kwa unyanyasaji wa kijinsia.Kwa mujibu wa tovut...
Mahakama ya Rufani imetupilia mbali shauri la maombi ya marejeo lililofunguliwa na mjane wa Reginald Mengi, Jacquiline Ntuyabaliwe na wanawe wawili, ambao wamekuwa wakipambana...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Chris Brown amemtolea povu msanii Tigo Fariah anayedaiwa kuiga swaga zake na kujinadi kufanana na staa huyo.
Tovuti mbalimbali zimeeleza ku...
Kanuni na miongozo ni jambo muhimu kwenye sekta yoyote kwa lengo la kuepusha upotoshaji na uvunjwaji wa kanuni na sheria iliyowekwa.
Nchini Tanzania kumekuwa na malalamiko kut...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Kayumba Juma ameweka wazi juu ya mwendelezo wa sakata lake alilodai awali kudhulumiwa Sh 7 milioni na Director Elly Mzava, ambaye anafanya kazi na R...
Na Aisha Charles
Hivi karibuni kumezuka mtindo wa wasanii kuonesha jumbe wanazowasiliana na wanamuziki kutoka mataifa mbalimbali hasa Marekani, wakiwa wanawaomba kufanya nao k...
Mwanamuziki wa Marekani, #UsherRaymond amemtaka mwanawe wa kiume aitwaye Naviyd aingie kwenye muziki mapema na kujisimamia mwenyewe akiwa na umri wa miaka 15.
Inaelezwa kuwa U...