Na Masoud KofiiMiongoni mwa wasanii wenye vipaji vya kuimba muziki ambavyo Tanzania imebarikiwa ni pamoja na Mavokali ambaye amekuwa akifanya muziki kwa namna ya tofauti. Benj...
Mtoto wa mkali wa Hip hop kutoka Marekani, Diddy, Christian Combs, maarufu kama King Combs taratibu ameanza kurithi vitu vya baba yake jambo ambalo liliwashitua mashabiki huku...
Mtoto wa kiume wa rapa kutoka nchini Marekani, #LilDurk, Romeo (10) anadaiwa kumpiga risasi baba yake wa kambo, kwa ajili ya kumtetea mama yake wakati wa mzozo.
Kwa mujibu wa ...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Doja Cat ameripotiwa kumtolea maneno machafu baba yake mzazi hii ni baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mzee wake huyo.Kupitia ukurasa...
Baada ya kushindwa kunyakuwa tuzo yoyote katika vipendele vitatu alivyoteuliwa na Grammy mkali wa Afrobeat Davido ameeleza kuwa licha ya kukosa Tuzo hizo baba yake mzazi Adede...
Baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Drake, #DennisGraham,ameruhusiwa kurudi nchini Canada baada ya kumaliza adhabu yake.
Kupitia #Instastory ya ‘rapa’ huyo...
Baba wa marehemu mwanamuziki Mohbad kutoka nchini Nigeria kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameeleza kuwa aliyekuwa mke wa Mohbad, Wunmi na wakili wake wanatishia kumuua...
Muongozaji video za muziki wa Bongo Fleva Nic Davie maarufu kama Nisher amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Disemba 12.
Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na ba...
Dennis Graham, ambaye ni baba mzazi wa mwanamuziki Drake awajua juu wanaomchukia na kumkosoa mwanaye.
Katika kuonesha hasira zake juu ya wanaomchukua mwanaye baba huyo amedai ...
Baada ya kusubiriwa kwa hamu ‘listi’ ya ngoma za kwenye albamu ya ‘rapa’ kutoka nchini Canada, Drake hatimaye mkeka huo umeachiwa na kutangazwa kuingia...
Muigizaji Kerry Washington mwenye umri wa miaka 46 afunguka kufahamu ukubwani kuwa baba anayeishi naye siyo baba yake mzazi.
Kerry amedai kuwa aligundua hilo mwaka 2018 baada ...
Mwanamuziki wa nyimbo za #Singeli #SholoMwamba amesema kitu ambacho kinamuumiza kila siku kwenye maisha yake ni kutomfahamu mama yake mzazi.
Amedai kuwa mama yake alifariki wa...