Baba yake Drake aruhusiwa kurudi Canada

Baba yake Drake aruhusiwa kurudi Canada

Baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Drake, #DennisGraham,ameruhusiwa kurudi nchini Canada baada ya kumaliza adhabu yake.

Kupitia #Instastory ya ‘rapa’ huyo ame-share picha ya baba na mama yake wakiwa pamoja na ameweka wazi kuwa baba yake ameruhusiwa kurudi nchini Canada.

Ikumbukwe kuwa baba yake na Drake alizuiwa kurudi Canada kutokana na masuala ya kisheria, hivyo kipindi chote cha mika 15 alikuwa akiishi Marekani.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags