Mtoto wa Drake ahusika kwenye albamu ya baba yake

Mtoto wa Drake ahusika kwenye albamu ya baba yake

Baada ya kusubiriwa kwa hamu ‘listi’ ya ngoma za kwenye albamu ya ‘rapa’ kutoka nchini Canada, Drake hatimaye mkeka huo umeachiwa na kutangazwa kuingia sokoni jioni ya leo.

Albamu hiyo iliyopewa jina la ‘For All Dogs’ yenye jumla ya nyimbo 23 itaachiwa siku ya leo na huku mtoto wa ‘rapa’ huyo akihusika kuandaa na kutengeneza cover ya albamu hiyo kwa kuchora.



‘Listi’ hiyo yenye nyimbo kama Virginia Beach, Amen, Calling for You, Fear of Heights, Daylight, First Person Shooter, IDGAF, 7969 Santa, Slime You Out, Bahamas Promises, Tried Our Best, Screw the World (Interlude), Members Only, Drew a Picasso, What Would Pluto Do, All the Parties, 8am in Charlotte, BBL Love (Interlude), Gently, Rich Baby Daddy, Another Late Night, Away From Home na Polar Opposites.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags