Doja Cat amtolea maneno machafu baba yake

Doja Cat amtolea maneno machafu baba yake

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Doja Cat ameripotiwa kumtolea maneno machafu baba yake mzazi hii ni baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mzee wake huyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Doja ameandika ujumbe wa kashfa na matusi kwa baba yake ambaye inasemekana hajawahi kukutana naye toka azaliwe.

Babake Doja Cat, aitwaye Dumisani Dlamini, ni mwigizaji na mchezaji densi nchini Afrika Kusini ambaye alijulikana zaidi kupitia filamu ya Whoopi Goldberg ya mwaka 1992.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags