Nisher afariki dunia

Nisher afariki dunia

Muongozaji video za muziki wa Bongo Fleva Nic Davie maarufu kama Nisher amefariki dunia usiku wa kuamkia  leo Disemba  12.

Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na baba yake mzazi Nabii Mkuu Dkt Geordavie kupitia ukurasa wake wa Instagram, msiba unafanyika katika nyumba ya matamko Kisongo mkoani  Arusha.

Kati ya video alizoongoza Nisher  ni wimbo wa  #Kijukuu wa Young Dee, #NjeYaBox ya Niki Wa Pili, Gnako na  Joh Makini.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags