Baba yake Drake apambana na wanaomchukia mwanaye

Baba yake Drake apambana na wanaomchukia mwanaye

Dennis Graham, ambaye ni baba mzazi wa mwanamuziki Drake awajua juu wanaomchukia na kumkosoa mwanaye.

Katika kuonesha hasira zake juu ya wanaomchukua mwanaye baba huyo amedai kuwa hatavumilia dharau yoyote kwa familia yake.

Hata hivi kutokana na hilo wengi wamekuwa wakihusisha hasira za baba huyo na tukio la mtangazaji Joe Budden lililotokea siku chache baada ya Drake kuachia albamu yake ya "For All The Dogs",  la kuikosoa albamu hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags