13
Tyla Tena Tuzo Za Billborad 2024
Na Asma HamisMwanamuziki kutoka Afrika Kusini ambaye alitamba na wimbo wa ‘Water’ Tyla ameendelea kung’ara Kimataifa na sasa ameripotiwa kushindwa tuzo ya ms...
16
Kwanini Afrobeats inapenya kuliko Bongo Fleva
Ni muda sasa kumekuwa na mijadala kwanini muziki wa Afrobeats unazidi kupenya na kupata hadhi kubwa duniani ukilinganisha na aina nyingine za muziki kutokea barani Afrika ikiw...
29
Diamond ataja sababu kupangwa mchana show ya Afronation
Mkali wa ngoma ya ‘Komasava’ Diamond amefunguka kuhusu suala la waandaji wa Tamasha la ‘Afronation’ linalifanyika nchini Ureno kumpanga mchana tofauti ...
29
Diamond Platnumz afunguka kuhusu Komasava
Wakati ngoma ya mkali wa Bongo Fleva nchini Diamond Platnumz ya ‘Komasava’ ikiendelea kukosha nyoyo za watu kutoka katika mataifa mbalimbali msanii huyo ameweka wa...
28
Nicki Minaj asimamisha show kumpongeza Davido na Chioma
‘Rapa’ wa Marekani Nicki Minaj wakati akiwa anatumbuiza kwenye tamasha la ‘Afro Nation 2024’ lililofanyika nchini Ureno alisimamisha show yake na kumpo...
23
Mwaliko wa harusi wasuluhisha ugomvi wa Davido na Pinnck
Mwamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido amemwalika harusi yake aliyekuwa Rais wa shirikisho la Soka la Nigeria, NFF #AmajuPinnick ingawa walikuwa katika mzozo wa kisheria. Taa...
12
Skales amchana wizkid
Rapa wa Nigeria #Skales amemtolea povu mkali wa Afrobeats #Wizkid baada ya kudai kuwa muziki wa Hip-hop umekufa. Skales ametoa povu wakati alipoulizwa swali juu ya Wiz kudai m...
12
Burna Boy kwenye orodha ya wanaovutia zaidi
Kwa mujibu wa jarida la Essence kutoka nchini Marekani limetoa listi ya mastaa wa kiume wanaovutia zaidi huku mkali wa Afrobeat Burna Boy akitajwa kwenye orodha hiyo.Kwa mujib...
06
Davido hajasahau asili yake
Licha ya Davido kujizolea umaarufu na kukubalika katika mataifa mbalimbali, mkali huyo wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria anaonekana kutosahau asili yake, hii ni baada ya kuone...
16
Wizkid aukataa muziki wa Afrobeat
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Wizkid ameukataa muziki wa #Afrobeat kwa kudai kuwa yeye siyo msanii wa Afrobeat huku akipiga marufuku kwa vyombo vya habari nchini humo kup...
29
Fireboy dml aukosoa muziki wa Afrobeat
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Fireboy DML, ameukosa muziki wa #Afrobeat kwa kudai kuwa muziki huo hauna mtiririko mzuri wa uandishi baada yake unabebwa na ‘vaibu&rsq...
27
Usher ataka kuwa sehemu ya Afrobeat
Mkali wa R&B kutoka nchini Marekani, Usher ameweka wazi kuwa anataka kuwa sehemu ya muziki wa Afrobeat.  Hii inakuja baada ya kuvutiwa na uimbaji wa wasanii kutoka nc...
08
Baba yake Davido atia neno, mwanaye kukosa Grammy
Baada ya kushindwa kunyakuwa tuzo yoyote katika vipendele vitatu alivyoteuliwa na Grammy mkali wa Afrobeat Davido ameeleza kuwa licha ya kukosa Tuzo hizo baba yake mzazi Adede...
07
Ifahamu mitindo ya Afro inayobamba
Aisha Charles Hii ni special kwa ajili yako wewe msomaji wa magazine ya Mwananchi Scoop kama kawaida tumekutana tena katika segment ya Fashion ili kuweza kujua yale ambayo yat...

Latest Post