Ebwana waswahili wanasema usicheze na mwenyepesaa, mwenyepesa sio mwenzako bwana hii imedhihirika kwa Staa wa filamu Irene Uwoya ambapo amesema yeye sio mvivu kwenye kutumia p...
Ebwana mambo niaje mtu wangu?! karibu kwenye ukuarasa wa makala za michezo na burudani bwana kama ilivyokawaida ijumaa ndiyo siku yenyewe ya kutuliza mikimiki ya wiki nzima na...
Mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya US Gendermarie ya Niger, utachezwa Jumapili saa 4:00 usiku badala ya saa 1:00 usiku.
...
Ebwana kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Star wa filamu nchini Rose Ndauka atangaza rasmi kuachana na Muziki pamoja na filamu yaani sanaa kiujumla. Mimi Naureen Mkongwa ...
Name; Nasra .A. Mdoe University; St.augustine university of Tanzania Position; Student Course; Bachelor of law year of study; Second year favourate sport;Basketball Hobbies;Re...
Bondia wa Marekani Jake Paul amekuwa mtu wa deal sana, akiona fursa tu anataka kupita nayo, ameibuka kuwapa ofa ya Dolla Milioni 15 sawa na Sh. Bilioni 34 kila mmoja kati ya W...
Huenda hali si shwari kwa urafiki wa wasanii wawili kati ya Babalevo na Shilole baada ya Babalevo kumuonya Shilole akae mbali na maisha yake asimfanye akaanza kuongea mambo ya...
Msanii wa muziki wa BongoFleva Rich Mavoko ameamua kuwajibu walimwengu kuhusiana na kuonekana kwake karibu na lebo ya Kings Music Records ambapo amesem...
Nyota wa tennis kutoka nchini Belarus Victoria Azarenka ametangaza kupumzika kidogo kwenye mchezo huo kutokana na matatizo binafsi ya kifamilia huku akitupwa nje ya michuano y...
Habari kijana mwenzangu ! bila shaka utakua uko fresh kabisaa kama kawaida leo kwenye makala za kazi ,ujuzi na maarifa nimeakunadalia namna ya kuandika barua pepe nzuri ya uta...
Watu wengi wamekuwa wakisoma kwa malengo maalum. Japo wengi huchagua kusomea taaluma fulani kwa kuwa ina soko kubwa la ajira na kuwa na malipo mazuri ya mishahara.
Hakuna anay...
Usiku wa kuamkia leo nchini Marekani zilitolewa tuzo za filamu za Oscar na moja ya story ambayo imezua gumzo mitandaoni ya mwigizaji Will Smith baada ya kumpiga kofi mchekesha...