Niko kwenye penzi zito, Nay Wamitego

Niko kwenye penzi zito, Nay Wamitego

Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, unajua utamu wa penzi jipya wewe basi bwana kwenye zilizo trends mitandaoni bwana kutoka kwa msanii wa  bongo fleva Nay wa Mitego baada ya kufunguka rasmi kuwa kwasasa yuko katika penzi jipya zito hivyo basi yuko tayari kuachia ngoma ya mapenzi ambayo itadumu miaka mingi bila kuchuja"


Aidha Nay amefunga hayo mapema leo kupitia Instastory yake na kueleza kuwa “ Nina miaka mitano sijatoa wimbo wa mapenzi but nikitowaga ngoma ya mapenzi huwa zinaishi muda mrefu sana coz nakuwaga kwenye feeling za mapenzi kweli, yani siwezagi kuandika nyimbo ya mapenzi kama sipo kwenye mapenzi so now niko kwenye penzi jipya zito, nazani naweza toa wimbo ambao utadumu miaka kadhaa bila kuchuja” amesema Nay waMitego

Hehheheh! Haya sasa wadau wa Mwananchi Scoop vipi kwa upande wako mapenzi ni mubashara au nawewe love inakuaffect.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags