Kadri siku zinavyo kwenda mbele basi na mitandao ya kijamii ndivyo huendelea kukua kwa kasi na kukubalika na watu wa kila rika, hivyo basi leo nimekuja na mbinu za kukuza bias...
Na Aisha LungatoAlaah kumbe, mmh yamekuwa hayo? mpenzi wa msanii Barnaba anayefahamika kwa jina la Raya the boss ameweka wazi kuwa yupo tayari kupigana kwaajili ya m...
Moja kati ya stori ambayo iko mitandaoni ni kuhusiana na Msanii Baba Levo kuweka wazi kuwa yuko tayari kwenda Uturuki kwa ajili ya kufanya Surgery.
Baba Levo ameyasema hayo wa...
Na Innocent Ndayanse
Alitembea harakaharaka ili kufanya dereva asione kuwa anacheleweshwa. Dakika chache baadaye alikuwa ndani ya nyumba aliyoishi.
Huko ndani alimkuta H...
Inaendelea……
Kama unataka kutengeneza umoja katika kazi, kundi ulilokuwa nalo linakutafsiri mbele ya jamii ni nini hasa utakachokijenga maishani mwako. Kuna msem...
Na Aisha LungatoMake hapo kwanza nchekee bwana!! kwenye gumzo mitandaoni leo mambo yalikuwa simambo waswahili wanasema kimeumana huko yule mlimbwende wa mwaka 2016 ameamu...
It’s another Monday wanangu wa mwananchiscoop kwenye gumzo mitandaoni kuna taarifa za kusikitisha kidogo ambazo zimewashitua watu wengu kutokana na mwadada m...
Na Aisha Lungato
Name: Ali Saleh Kiba
Birthday: November,29
Kazi: Musician
Ali Saleh Kiba also known as Ali Kiba or sometimes King Kiba is a Tanzanian singer...
Na Innocent Ndayanse
“Nimekufanyia hivyo tu kwa kuwa uko na msh’kaji wangu, Kipanga,” Masumbuko alisema. Kisha kama aliyekumbuka kitu, akamuuliza, “Kwa...
Ooooyeeeeh! Ni ijumaa nyingine tena wanangu wa Mwananchiscoop mabinti wengi wa siku hizi wanapenda kutunza kucha kuliko kula hahahah (jokes) sasa leo warembo wangu nimekuja na...
Ebwana eeh!!hii nayo ni kubwa kuliko ambapo Msanii Baba Levo hatimaye rasmi ametangaza kuachana na masuala ya Uchawa.
Aidha msanii huyo ameweka wazi kuwa hivi karibuni atafung...
Aisee moja kati ya taarifa ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii ni hii hapa inayohusiana na kifo cha mwigizaji Mashuhuri duniani Ray Liotta .
Ray Liotta amefariki Dunia...
Na Aisha Lungato
Msongo wa Mawazo/Stress ni tatizo ambalo limeendelea kuwa tatizo sana kwa wanaadamu katika zama tulizo nazo,Katika miaka hii tuliyo nayo, ni sahihi kabi...