Baba Levo  kufanya Surgery ya Pua

Baba Levo kufanya Surgery ya Pua

Moja kati ya stori ambayo iko mitandaoni ni kuhusiana na Msanii Baba Levo kuweka wazi kuwa yuko tayari kwenda Uturuki kwa ajili ya kufanya Surgery.

Baba Levo ameyasema hayo wakati akihojia na kituo kimoja cha habari na kueleza kuwa sio Surgery ya pua peke yake bali atafanya na yakupunguza kitambi ili aweze kuwa na muonekano mzuri.

''Naenda Uturuki Kuhakikisha Nafanya Surgery Ya Pua Maana Nimechekwa Vya Kutosha, Sasa Ni Muda Umefika Niende Kufanya Surgery Niende Nikate Pua Niwe Handsome Boy,Itagharimu Kama Milioni 46 Za Kitanzania Kwasababu Ni Pua Na Kitambi".

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags