24
Khaby Lame, Kinara wa Tiktok
Wewe mwenzangu na mie ukihangaika na vifollowers vyako 100 wenzako huku wanashikilia nafasi za juu za kuwa na wafuasi wengi (followers) Raia wa Senegal Khaby Lame ametajwa kuw...
24
Dogo Janja, Penzi limetaradadi
Aloooooweee! Kumbe nyie mapenzi matamu na hamsemi, binadamu mnasiri sana bwana ahahahha! Yule chalii kutoka Rchuga Dogojanja anatutishia Amani wanangu wa Instagram kuwa atatub...
24
Linah, Atoa ya moyoni
Oyaaaah! Weeeh! Kwani wanadamu mnanini nyie lakini? Make hapa kwanza ncheke, leo bwana katika gumzo mitandaoni kuna balaa zito baada ya mwanadada mkongwe katika tasnia ya bong...
23
Marioo: Muda wao umekwisha
Ebwana eeh!! moja kati ya ujumbe ulioibua gumzo mtandaoni ni huu hapa uliotoka kwa msanii wa Muziki wa Bongo fleva Mario ambapo ameshusha waraka mzito unaowahusu wasanii wa bo...
23
Tatizo sio mtaji tatizo ni wewe
Hellow! Wanangu wa mwananchiscoop leo katika biashara tumekujia na nondo ambazo zitakusaidia katika biashara au mradi unayo taka kuuanzisha ungana nasi kupata mbinu ambazo zit...
22
Barnaba: Sipendi kudate na mtu maarufu
Aloooh weeeh!!! Hii rasmi kabisa kutoka kwa Msanii wa Muziki hapa nchini Barnaba amefunguka kwasasa hawezi tena kuwa na mahusiano na mtu maarufu kwa kile alichodai kuwa haitaj...
22
Menina Aweka wazi Mwanaume Anayemtaka
Ebwana eeh!! hii nayo kubwa kuliko hatimaye Msanii na mwigizaji Menina Alegria ameweka  bayana aina ya Wanaume ambao anawahitaji Kwenye Maisha Yake.  Msanii huyo ame...
21
Ifahamu siku ya Muziki Duniani
Ebwana eeeh!! Ulikua unalifahamu hili? Kama bado acha nikujuze Zaidi kuhusiana na siku hii ya tarehe 21 june ambapo ni siku ya Muziki Ulimwenguni, Siku ya kuFanya Muziki ambay...
21
MAHUSIANO: Wazee wetu walikuwa na sababu ya kuzuia wachumba kukutana kimwili kabla ya ndoa
Ni kweli kwamba, siku hizi vijana wengi huamini kuwa baada ya kukutana kimwili, ndipo wanapoweza kudai kwamba, wamewafahamu wapenz...
21
50 Cent Atema nyongo siku ya Baba duniani
YES!!! Moja kati ya suala ambalo limeibua mjadala huko mitandaoni ni hili hapa linalohusu maadhimisho ya siku ya baba duniani ambapo siku hiyo hutambuliwa kila ifikapo tarehe ...
21
Dully Sykes: Sijui tunakwama wapi
Hellow guys! I hope mko good eeeeeh! Bwana bwana, leo kwenye gumzo mitandaoni baada ya ukimya mrefu yule nguli wa bongo fleva, Dully Sykes ameuliza Watanzania wenzake kuwa nch...
20
KUMBUKIZI: Siku ya wakimbizi duniani
Machafuko, vita na mateso vinafanya zaidi ya watu milioni 80 duniani kote kufungasha virago na kuzikimbia kaya zao huku wakiacha kila kitu kwa ajili ya kuokoa maisha yao na ya...
20
Bidada asahau kope fake Maison
Katika hali ya kuchekesha, bi dada mmoja (asiyejulikana) aliacha kope zake za kubandika (fake) katika 'washroom' ya club ya Maison.Maison ilikuwa inasherehekea miaka minne tan...
20
Nikki wa Pili, Usiache kuweka Akiba
Mkuu wa mkoa wa wilaya ya Kisalawe Mh,Nikki wa pili kupitia ukurasa wake wa Tweet amefunguka na kutoa maneno kuntu ambayo yanahamasisha kwa namna moja ama nyingine Aidha alifu...

Latest Post