Bidada asahau kope fake Maison

Bidada Asahau Kope Fake Maison

Katika hali ya kuchekesha, bi dada mmoja (asiyejulikana) aliacha kope zake za kubandika (fake) katika 'washroom' ya club ya Maison.laughing

Maison ilikuwa inasherehekea miaka minne tangu kuanzishwa kwake na hivyo bonge la party lilifanyika Ijumaa na Jumamosi katika club hiyo.

Mmoja wa wamiliki wa Maison mwenye Instagram account iitwayo 'weoutcheatz' aliandika katika myandao huo, "Dear esteemed loyal customer … I know last night was a movie at Maison 4 years anniversary . You left your lashes in our women’s bathroom and we have saved them for you . Please inbox us for return"

Mambo hayo! Wadada tungi zikizidi tusisahau kope jamany!!!!wink


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post