Hapa sijui kama nicheke au nisikitishe maana mambo ni mambo muraaa!!Sidhani kama kuna siku tulitegemea kuona wananchi kushikwa na hasira hadi kuamua kuvamia nyumba ya Rais wao...
Kali nyingine hii hapa!Pengine ulikuwa unajua kuwa nchi ya China inaongoza kwa watu wengi duniani, lakini je ulijua kuwa uwingi huo wa watu ni sawa na watu wa bara zima la Afr...
Aloooooh, Kimeumana! Nikisema kimeumana na maanisha mtu wangu wa nguvu bwana, leo kwenye ile segment yetu pendwa ya Uni Corner ni kama kwa motoo hivi, wanachuo wenyewe wanakwa...
Na Leonard Musikula
Niajeee! Wanangu wa Mwananchi Scoop!
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika moja ya falsafa zake juu ya uhuru na ujamaa alisema kuwa nafasi ...
Heloow! Wanangu wa Mwananchi Scoop, leo nimekuja na kitu ambacho kitakusaidia ili upate kazi kwa haraka. Najua mnadanganyana na kutishana mambo mengi sana kuhusiana na usaili ...
Jina: Asma Majid (Jamida)
Birthday: September 27th
Alooooooh!! Mwananchi Scoop this furahi day bwana tumemmulika binti ambaye anafanya sanaa ya ucheshi, Asma Jamida. Bila shak...
Helooow! Natumai ni wazima wa afya. Leo bwana katika biashara nimekuja na jambo konki yaani ukiweza kulifuatisha hili basi biashara yako haita tetereka, cha kwanza ninacho tak...
Alooooh weeeh aloooo teena, karibu sana kwenye dondoo za fashion. This week bwana tumekuandalia jambo kubwa kabisa la mtindo wa kubandika nguo. Je unafahamu unyama huu jinsi u...
Helooow! Wanangu wa mwananchiscoop bwana bwana yule mzee wa kimya kimya safari hii amekuja na nyingine tena, yaani sio nyingine tuu ni balaa juu ya balaa. Nikizungumza hivi n...
Hahahah! Make kwanza ncheke, huyu mtoto ni balaa yaani sio pouwa
Kabisa. ashabiki wanasema akiamua kutoa nyimbo basi anatulia haswa,
ukiachana na story ya Stamina na Lody Musi...
Kama kawaida yetu hatuboi wala hatupoi, week hii bwana katika
entertainment yaani nyimbo zilizotoka week hii moja wapo ya yule kijana
wa “kubali’ ambae alihit sana...
Halaaaa fellas,
Najua watu wengi sana mngependa kwenda Zanzibar lakini pengine hata haujui ukienda huko ukale bata sehemu gani?
Na kama wewe ni mfuatiliaji sana wa mitandao ya...
Tunajiuliza siku zote ni kwa nini penzi linapoingia mahali huweza kuharibu kila kitu? Tumekuwa na misemo yetu ya siku nyingi kama siyo ya asili, kama vile ule wa ‘penzi ...
Kijana mmoja Jijini Nairobi, nchini Kenya anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo kwa kosa la kujiteka ili apate fedha kutoka kwa wazazi wake.Kijana huyo ajulikanae kama E...