Kitabu cha Mashairi cha 2Pac Kinatarajiwa Kupigwa mnada wa hadi $300,000, jumba la mnada Sotheby's linapiga mnada kitabu cha mashairi kilichoandikwa na msanii 2Pac alivyokuwa ...
Msanii wa muziki wa HipHop, Emmanuel Elibarick, maarufu Nay wa Mitego, ametangaza kujiondoa kwenye tuzo za muziki Tanzania(TMA).Taarifa hiyo imetolewa leo Alhamisi Machi 24,20...
Name: Rose Patrick
Birthday: October, 23
Kazi: Actress
Rose Patrick also known as Clara Nampunja is an East Africa Actress and video vixen.
Rose alipata umaarufu na kuanza kuj...
Niaje wanangu wa MwananchiScoop, I hope mko powa leo bwana kwenye fashooon nimekuja na ile tiba ya kutoa harufu mbaya mdomoni waswahili tunasema mdomo unatemaa, ungana na mimi...
Bingwa wa michuano ya wazi ya tennis ya Australia Rafael Nadal atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki 4 mpaka 6 kutokana na majeruhi ya mbavu aliyoyapata kwenye mchezo wa ...
Moja ya story inayobamba katika mitandao huko ni ya msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria Burna Boy ambaye ameandika historia ya kuujaza ukumbi wa Accor Arena mjini Paris Uf...
Ni wazi kuwa hivi karibuni watu wengi sana biashara za mtandaoni zimekuwa na thamani kubwa, hii ni kutokana na janga la COVID-19 ambalo limelazimisha watu wengi duniani k...
Name: Hawa Ngalima a.k.a Hawa Beauty EmpireUniversity: UDSMPosition: StudentCourse: Bachelor Of Arts In Mass CommunicationYear of study: Second YearFavorite sport: Martial Art...
Mambo niaje! msomaji wa Mwananchi Scoop? Leo kwenye kipengele cha Smartphone bwana nakuletea namna simu janja zinavyotengenezwa bwana au sio fuatilia dondoo hii ili uweze kuji...
Label ya 1501 Certified Entertainment iliyokuwa ikimsimamia Mwanamuziki Megan imemshtaki msanii huyo kwa kuachana nayo kwa ugomvi.
Kutokana na madai hayo, label hiyo imeamua k...
Wasanii wa muziki wa Bongo fleva wamemtaka msanii wa filamu nchini Steven Mengele maarufu Steve Nyerere ang’atuke kwenye uongozi ndani ya saa 48, kwa madai kuwa hawamtam...
Naam! Uko pouwa mdau wangu? hivi unafahamu namna ya kupika cookies? Au ndo unasikia sikia tu halafu helewi mambo, usijali hili suala niachie mimi.
Leo kwenye nipe dili nitakuj...
Hivi karibuni nilibahatika kukutana na ripoti ya Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) ya mwaka 2015. Najua ni ya siku nyingi lakini ilinifikirisha sana.
Mbali na mambo m...