
Akizungumza katika runinga, Prof. Mohamed Janabi, ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) amesema, "Nakumbushia tena kunywa pombe kwa saa kutoka chupa moja hadi nyingine ukienda baa kuanzia saa moja hadi Saa mbili, kunywa chupa mbili za bia. Ule muda uliobakia tazama mpira, tamthilia. Ulitoka hapo nenda kapumzike na karibu kula mapema."
Tupia comment yako hapo utuambie unakunywa bia ngapi kwa lisaa?
Leave a Reply