Ulimwengu wa fashion umebebwa na vitu vingi sana huku umaridadi na usafi vikiwa ndiyo nguzo yake. Katika jamii zetu ni suala la aibu kukuta mtu kapendeza lakini akawa a...
Niaje niaje, wiki ya kuchakarika ndiyo imeanza, huku hatujamaliza ada huku kodi, kule bill zingine, unalipaje mahitaji yote hayo, jibu ni kujishughulisha, na kama kawaida yetu...
Katika sehemu za kuuzia vyakula mbalimbali nchini, watu wameonekana kuvutiwa na kinywaji cha dessert ambacho huwa kina mchanganyiko wa matunda na maziwa na yogurt.
Hivyo basi ...
Ooooooh! niaje wanangu sana natumai ni wazima wa afya naona ni furahi day nyingine tena tunakusogezea jarida letu pendwa kabisa, basi bwana leo kwenye kipengele chetu cha fash...
Akizungumza katika kongamano la kukuza uelewa kuhusu athari za unywaji pombe kwa wajawazito nchini Afrika Kusini, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Hendrietta Bogopane-Zulu ...
Veronika Peter mwenye umri wa miaka 46 mkazi wa Zanzibar anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu akidaiwa kuelemewa na madeni mengi ya mkopo yaliyomshinda kulipa. Kamanda wa Polisi M...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau t...
Serikali ya Uganda inapanga kuongeza umri wa unywaji pombe kutoka miaka 18 hadi 21 ili kukabiliana na uraibu, afisa wa Wizara ya Afya ameeleza.
Akizungumza katika Kongamano la...
Tukio hilo limetokea Sanyajuu Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro ambapo mtu mmoja aliye fahamika kwa jina la Ben amefariki dunia na wengine wanne wamelazwa baada ya kunywa pomb...
Wataalamu wa afya wanashauri watu kufanya mazoezi ili kuimarisha afya ya mwili lakini hii kwa vijana imekuwa tofauti wengi hutumia muda wao kushinda gym kwa kufanya mazoezi il...
Takriban watu 19 wamefariki na wengine mahututi baada ya kunywa pombe kwenye duka lililopo kando ya barabara katika mji wa kaskazini wa Morocco, Ksar el-Kebir.Mwanaume mmoja m...
Eeehh bwana eehh... Msanii nguli nchini Tanzania, Marioo aliimba 'asikuambie mtu, BIA TAMU!' Hahahahaa, sasa kuelekea weekend, nikutaarifu tu kuwa hata bia iwe tamu vipi, ina ...
Hii imetokea huko Nchini Afrika Kusini ambapo Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30, amefariki dunia baada ya kumaliza chupa nzima ya pombe kali y...
Wengi wana tengeneza juice za kawaida ambazo anaweza kunywa mtu yoyote yule lakini wakinywa watu wenye uzito mkubwa, uzito unaongezeka kwasababu juice nyingi zinawekwa sukari ...