Mama Dangote, Esma Platnumz na Queen Darleen waibukia uigizaji

Mama Dangote, Esma Platnumz na Queen Darleen waibukia uigizaji

Alooooooh!

Bwana bwana, naona Wasafi family sasa imeamua kukamatia sekta zote baada ya watatu kati ya familia hiyo kuanza rasmi tasnia ya uigizaji.

Katika teaser ya tamthilia mpya ya KUTIKAVU, Mama wa msanii Diamond Platnumz, Bi Sandra maarufu kama Mama Dangote, pamoja na dada zake Diamond, Esma na Queen Darleen wameonekana wakiwa katika uhusika wa aina yake.

Hata hivyo, hii haitokuwa mara ya kwanza kwa mtu kutoka kwenye familia hiyo kuigiza, kwani DJ na ndugu yake Diamond, Romy Jones amekuwa akiigiza kwa muda sasa.....maybe it runs in the familywink 

Je hili wimbi la watu maarufu kuibukia katika uigizaji unalionaje? Tupia comment yako tujue zaidi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags