Queen Darleen, Sipo kwenye ndoa

Queen Darleen, Sipo kwenye ndoa

Uwiiiiiih! Wakati wengine ndo kwanza wanaingia kwenye ndoa huku sasa kuna wengine ndo kwanza wanainua mikono juu kutokana na maswala ya ndoa kushindwana nayo basi bwana bidada Queen Darleen leo hii ameamua  kuvunja ukimya na kuweka wazi kwa kusema kuwa hayupo kwenye ndoa japo kuwa alimpenda sana mume wake, sasa ameinua mikono juu,

Queen Darleen ameyasema hayo akiwa katika mahojiano na moja ya chombo cha habari na kusema kuwa “natamka kwa kauli yangu Mimi Mwanahawa Abdull Juma maarufu kama Queen Darleen kwasasa sipo kwenye ndoa, nampenda yule kaka kufa lakini sina cha kusema Zaidi ya sipo kwenye ndoa” amesema Queen Darleen

Haya sasa wale wambea mtaweka wapi sura zenu au sio shida zenu, vipi kwa upande wako unamshauri nini mwanadada huyu dondosha komenti yako hapo chini mwanangu sana.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags