Divatheebawse, Natamani kupata mtoto

Divatheebawse, Natamani kupata mtoto

Oyaaah! Ni siku nyingine tena watu wangu wa nguvu wa Mwananchi Scoop I hope mko good sasa bwana leo kuna kauli mwanadada mmoja kaitoa  ambayo iko serious kidogo ni kutoka kwa yule mtangazaji wa kipindi cha mapenzi cha Lavi Davi, Divatheebawse ameeleza kuwa anatamani sana kupata mtoto kwasasa na anaswali sana ili aweze kupata mtoto.

Diva ameeleza hayo wakati akijibu maswali ambayo alikuwa akiulizwa na shabiki wake kuhusu swala la yeye kuwa na mtoto mwanadada huyo alifunguka na kusema kuwa “Naswali sana yani sana ili niweze kupata mtoto, natamani sana kuwa na mtoto” amesema Divatheebawse

Haya sasa kwako wewe mdau wetu una jambo gani la kumwambia au kumshauri mwanadada huyo, all in all tumuombe ili aweze kufanikisha hitaji lake






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags