Linah, Atoa ya moyoni

Linah, Atoa ya moyoni

Oyaaaah! Weeeh! Kwani wanadamu mnanini nyie lakini? Make hapa kwanza ncheke, leo bwana katika gumzo mitandaoni kuna balaa zito baada ya mwanadada mkongwe katika tasnia ya bongo fleva Linah Sanga kutoa mazito kuhusu wanadamu hahhahah!

Alifungunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kueleza kuwa “kuna wanadamu watakupenda, na kuna ambao watakuchukia halafu sasa kuna wanadamu hawatokuwa na lolote la kufanya yaani hawatokupenda wala hawatokuchukia” amesema Linah Sanga

Wanangu wa mwananchisoop wewe unadhani binadamu wamemfanya nini mwanadada huyu? ndondosha comment yako hapo chini mtu wangu wa nguvu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags