Barnaba: Sipendi kudate na mtu maarufu

Barnaba: Sipendi kudate na mtu maarufu

Aloooh weeeh!!! Hii rasmi kabisa kutoka kwa Msanii wa Muziki hapa nchini Barnaba amefunguka kwasasa hawezi tena kuwa na mahusiano na mtu maarufu kwa kile alichodai kuwa haitaji makelele.

"Nimewahi Kudate Na Star Takribani Miaka 10 Iliyopta Siwezi Kumtaja Jina,Sipendi Kudate Na Mtu Maarufu Maana Mi Pia Ni Superstar Na Watu Wanampenda Sana  Barnabana watu wananijua na kazi yangu ni makelele nikiwa kibaruani,studio,ofisini kote makelele kwahiyo sihitaji kurudi tena nyumbani nikutane na makelee''






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags