Dully Sykes:  Sijui tunakwama wapi

Dully Sykes: Sijui tunakwama wapi

Hellow guys! I hope mko good eeeeeh! Bwana bwana, leo kwenye gumzo mitandaoni baada ya ukimya mrefu yule nguli wa bongo fleva, Dully Sykes ameuliza Watanzania wenzake kuwa nchi yetu ina kwama wapi? 

Aidha amefunguka mazito kupitia Instastory yake ambapo alieleza kuwa “Hivi nchi yetu inakuaga wapi kwenye kutangaza mlima Kilimanjaro …..asilimia 70 ya watu wa nchi mbalimbali wanajua kuwa mlima upo Kenya, tunakwama wapi mpaka kiswahili wanajua kinatokea Kenya,” amesema Dully Sykes.

Mmmmmmh! Embu tusikitike kidogo, haya wanangu wa Mwananchi Scoop, dondosha comment yako hapo chini na utueleze tunakwama wapi?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags