King Kiba

King Kiba

Na Aisha Lungato  

Name: Ali Saleh Kiba

Birthday: November,29

Kazi: Musician 

Ali Saleh Kiba also known as Ali Kiba or sometimes King Kiba is a Tanzanian singer, Songwriter and the owner of Kings Music label.

King kiba alipata umaarufu na anaendelea kuchanja mbuga za kuwa maarufu zaidi kupitia ngoma zake kali anazozitoa ambazo hupendwa na kila rika , nyimbo ambazo zimemfanya na zinamfanya ajulikane zaidi ni usiniseme ya mwaka 2009, cheketua ya mwaka 2020, cinderella ya mwaka 2006 , utu ya mwaka 2021 na nyingine kibao ambazo zinafanya vizuri kupitia mitandao ya kijaamii.

He set a new record in Tanzania after winning 5 awards at the 2022 Tanzania Music Awards that were held for the first time in April 2, 2022 after 6 years hiatus. 

Kwasasa King Kiba anatamba na nyimbo ambayo ameshirikishwa na msanii mwenzie Hamadai ambapo ameupiga mwingi kupitia ngoma hiyo ambayo imepewa jina la “Niamini” inayofanya vizuri huko mjini tiktok.

We love King Kiba because he is a musician who strives to produce strong moral songs that are loved and listened to all people with different ages, so we advise budding artists to follow King Kiba actions in order to produce good and quality music.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post