Raya kupigana kisa Barnaba

Raya kupigana kisa Barnaba

Na Aisha Lungato

Alaah kumbe, mmh yamekuwa hayo? mpenzi wa msanii Barnaba anayefahamika kwa jina la Raya the boss ameweka wazi kuwa yupo tayari kupigana kwaajili ya msanii huyo endapo kuna mtu atamsogelea.

Raya amepost picha ya Barnaba  na kuandika ujumbe huu hapa kupitia mtandao wake wa kijamii

''Sijawahi kupigana kisa mapenzi ila kwa huyu kijana mtanisamehe mtapasuka halafu sijali wala nin? tutagawana majengo jamani msije kusema sijawapa taaarifa jamani !''

Unalionaje suala hili mdau? Kwa upande wako unaweza kujitoa hivi kwa mpenzi wako? Dondosha comment hapo chini.







Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags