Naam! Uko pouwa mdau wangu? hivi unafahamu namna ya kupika cookies? Au ndo unasikia sikia tu halafu helewi mambo, usijali hili suala niachie mimi.
Leo kwenye nipe dili nitakuj...
Hivi karibuni nilibahatika kukutana na ripoti ya Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) ya mwaka 2015. Najua ni ya siku nyingi lakini ilinifikirisha sana.
Mbali na mambo m...
September mwaka jana Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri.
Miongoni mwa sura mpya katika baraza hilo la mawaziri, ni ...
Faru Rajabu, aliyekuwa mtoto wa Faru maarufu kama Faru Juma, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kutokana ana sababu za uzee, katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Kwa mujibu...
Achana na rekodi ya kuwa msanii wa tatu Afrika 2021, unaambiwa mwenye nacho huongezewa kila siku, EP ya First Of All (FOA) ya Diamond Platnumz imeweka rekodi ya ngom...
Ni ukweli uliyowazi kuwa dunia kwa sasa inakwenda kasi, na teknolojia inazidi kuimarika watu wanahabarika kupitia mitandao ya kijamii.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo kus...
#MANCRUSHMONDAY
MICHAEL ANDERSON
Name: MICHAEL ANDERSONUniversity: SAUT MWANZAPosition: MEMBER OF PARLIAMENT SAUT LAWCourse: BACHELOR OF LAWYear of study: 2021/2022Favorite sp...
Habari yako kijana mwenzangu, I hope uko salama kabisa kama unapitia changamoto basi Mungu akufanyie wepesi mtu wangu wa nguvu.
Karibu tena kama kawaida siku ya jumatatu ...
Messi wa BongoFlava Rich Mavoko yupo tayari kuachia Album yake mpya ya fundi itayakotoka Machi 25 baada ya Machi 18 kama alivyotangaza awali.
Rich Mavoko anasema sababu ya kub...
Unaambiwa kwamba Ramon Abbas maarufu kama Hushpuppi amefunguliwa mashtaka mengine mapya ya utakatishaji fedha baada ya kufanya utapeli wa $400,000 sawa na Tsh million 926 akiw...
Kampuni ya Kielektroniki ya Samsung Afrika Mashariki imekutana na wadau wake wa kibiashara Jijini Dar es Salaam wakiwemo wafanyabiashara na wasambazaji wa bidhaa zake zote kut...
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka ya 2010 ndipo nilipokutana na fedheha hii ambayo sitakuja kuisahau maishani.
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ...
Ebwanaa eeh!! mambo vipi hivi unajua kama kila kukicha smartphone yako ina uwezo wa kufanya mambo kadha wa kadha ?.
Je unafahamu jinsi ya kuficha chats zako za whats up?leo kw...