RayVanny aaga WCB WASAFI Rasmi

RayVanny aaga WCB WASAFI Rasmi

Nyota wa Bongo Flava na CEO wa Next Levl Music, RayVanny ameaga rasmi lebo ya WCB Wasafi.

Ingawa tetesi hizo zimekuwa zikitamba kwa muda sasa, ila leo msanii huyo kupitia kurasa yake ya Instagram, ameiaga rasmi WCB kwa kupost video ya moments zake mbalimbali akiwa huko, akiambatanisha na caption ya "Thank you WCB WASAFI."

Rayvanny hatokuwa msanii wa kwanza kuondoka WASAFI ama kuanzisha lebo yake, ambapo anawaunga wasanii Rich Mavoko na Harmonize ambao nao waliiaga labo hiyo.

Vipi unalionaje hilo??






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags