Moja ya story inayotrend katika mitandao ya kijamii ni hii ya msanii kutokea pande za Marekani, Gucci Mane kumpatia shabiki yake takribani Sh. Milioni 11.6.
Mane ametoa kiasi ...
Msanii wa filamu nchini, Aunty Ezekiel ameweka wazi hisia zake za kutamani mtoto wa tatu kwa sasa kwani yeye ni mama bora na anaweza vema kutunza familia.
Kupitia ukurasa wake...
Wakati wanawake Machi 8 ya kila mwaka dunia uadhimisha siku yao, bado wadau wamesema rushwa ya ngono ni tatizo linalotafuna ndani kwa ndani.
Baadhi ya wadau hao ni Chama cha W...
Ebwana eeeh! kutoka lebo ya WCB msanii Zuchu amewajibu Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kuwaambia wamewaonea kuifungia video ya mtasubiri aliyofanya na Diamond Platnumz.
...
Msanii wa muziki nchini, Maua Sama ameshare hisia kwamba anampenda msanii mwenzake Alikiba.
Maua ameweka wazi kumkubali Alikiba baada ya hivi karibuni kufunguka kwamba hakuna ...
Moja ya story ni hii ya aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ameweka wazi kukerwa na Spider Man wa Bongo ambaye anatrend mitandaoni akicheza taarab na kuuza matunda ...
Unaambiwa bwana hali imezidi kuwa mbaya kwa timu ya Philadelphia 76ers (Sixers) baada ya kupoteza mchezo wa pili wa nusu fainali kanda ya mashariki dhidi ya Miami Heats kwa ku...
Habari za tangu wiki iliyopita msomaji mwananchiscoop najua u mzima wa afya na leo tunakutana tena ili kuweza kujuzana mambo mbalimbali uwenda unayajua lakini mimi nakujuza za...
Ohoo!!Msanii wa maigizo, Burton Mwembe maarufu Mwijaku,wenyewe anapenda kujiita Dc wa Insta amekutwa na kesi ya kujibu katika shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume na she...
Na Innocent Ndayanse
Sehemu ya 04
Panja akakohoa kidogo kisha akamuuliza, “Hushangai kuona mara nipo, mara sipo?”
“Hata nikishangaa itanisaidia nini? Najua k...
Moja ya stori inayobamba huko mitandaoni ni ya kijana wa miaka 13 kutokea nchini Uingereza Omari McQeen ambaye imeelezwa anatengeneza mkwanja mrefu kupitia mitandao ya kijamii...
Kuna aina nyingi za maziwa ya unga yaliyotengenezwa maalumu kwa watoto wachanga.
Mratibu wa lishe Manispaa ya Temeke, Dk Charles Malale ndani ya jarida la MwananchiScoop leo a...
Hakuna mtu badala yako, pambana kwa ajili ya maisha yako. Fahamu kuwa hakuna mtu yeyote duniani atakayebeba maisha yako. Mtu anayekuchukia na kukufanyia mambo mabaya analengo ...