Mimba ya Nandy hii hapa!

Mimba Ya Nandy Hii Hapa!

Basi bwana bwana, kama watu wengi walivyokuwa wanahisi, msanii mkali wa kike TZ, Nandera maarufu kama Nandy ameconfirm ujauzito wake.

Confirmation hiyo imekuja baada ya yeye na mume wake mtarajiwa, Billnas kupost picha za maternity shoot.Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.

Congratulations to the both of them!!!


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post