Ni ukweli usiopingika Yammi ambaye ni first born wa lebo ya The African Princess ya kwake Nandy ni mmoja kati ya wasanii wa kike Bongo wanaofanya vizuri tangu alipotambulishwa...
Mwanamuziki William Lyimo 'Billnass' amesema kabla ya kwenda kwenye tamasha lolote ambalo atakuwa amealikwa kitu cha kwanza ambacho huwa anaangalia maslahi ya tasnia kabla ya ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Nandy amefichua mjengo wao mpya wa kwanza yeye na mumewe Billnass.Kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video inayoonesha mjengo huo ikiamba...
Mwanamuziki Billnass amesema tuzo zote duniani huwa zinalalamikiwa hivyo kwa maoni ambayo yanaendelea kutolewa dhidi ya Tuzo Za Muziki Tanzania yasiwe ya kuvunja moyo."Mimi ni...
Mwanamuziki Billnass ameeleza kuwa katika miaka miwili ya ndoa yake na Nandy, kuna vingi anajivunia lakini kikubwa ni kupata mtoto wa kike."Tunashukuru Mungu kwa kila jema ali...
Wanamuziki wa Bongo Fleva Nchini Rayvanny na Billnass wametuma salamu za pole na kuwaombea wananchi wa Kenya ambao wamejeruhiwa na wengine kuuwawa katika maandamano ya kupinga...
Wanamuziki kutoka nchini Diamond, Jux, Billnass, Mbosso na mtayarishaji S2kizzy (Zombie) wako jikoni kuandaa ngoma ya pamoja ambapo kupitia video inayosambaa mitandaoni inawao...
Baada ya jinsia ya mtoto wa Marioo na Paula kutambulika mwanamuziki wa Bongo Fleva Billnass amemkaribisha marioo kwenye chama cha wazazi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagr...
Baada ya kufungiwa miezi mitatu kwa kutojihusisha na kazi za sanaa na ‘faini’ ya milioni tatu mwanamuziki #Billnass naye amefika Baraza la Sanaa Taifa #BASAT...
Akiwa katika mahojiano na vyombo vya habari nchini mwanamuziki #Billnass ameeleza kuwa yeye hawashawishi wala kushauri watu kuendelea kufanya muziki wa Amapiano na hatamani wa...
Mwanamuziki #Billnass amewajibu wanaomsema vibaya kutokana na clip inayosambaa mtandaoni akicheza ‘Flow’ ambao ni wimbo wa mkewe #Nandy.
Wakati akifanya mahojiano ...
Katika harakati za kutambiana mikufu yenye thamani katika festival iliyofanyika siku ya Ijumaa mkoani Songea, msanii Billnass naye hakukaa kinyonge huku akidai kuwa mkufu wake...