Tiwa Savage, Ningekuwa wakiume ningekuwa na baby mamas wa5

Tiwa Savage, Ningekuwa wakiume ningekuwa na baby mamas wa5

Hivi ushawahi kukaa na kujiuliza ungekuwa mwanaume au mwanamke kitu cha kwanza cha kufanya kingekua nini hahahaha! Tuachane na hayo bwana leo kwenye gumzo mitandaoni ni msanii kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage amezua taharuki baada ya kutoa ujumbe kuwa angekuwa mwanaume basi angekuwa na mababy mama watano.

Aidha Tiwa ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa Instagram katika instastory yake na kueleza kuwa “The way girls love me if I be male artist I will already have like 5 baby mamas” amesema Tiwa Savage

Haya sasa wewe binti unaefuatilia Mwananchi Scoop je wewe ungekuwa boy ungekuwa na mababy mama wangapi? Embu dondosha komenti yako hapo chini au sio shida zako






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags