Lavalava, Nina Mchumba

Lavalava, Nina Mchumba

Hahaha! Make hapa kwanza ncheke wakati wewe ukihangaika kumposti mtoto wa mama mkwe mitandaoni wenzako huku wanaogopa kutupostia majina ya mababy zao, bwana msanii wa bongo fleva Tanzania Lavalava ameamua kuuvunja ukimya baada ya kuandika kuwa anaogopa kutaja jina la mchumba wake.

Bwana weee! Lavalava amefunguka hayo kupitia instastory yake na kueleza kuwa “jamani nina mchumba angu mwenzenu natamani kuwatajia jina lake ia mmmmh naogopa” amesema Lavalava

Alooooooh! Haya wanangu wa mwananchi scoop basi tutajiee jina na mchumba ako au tukuache kidogo.

 

 
 
 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags