Mwijaku, Aiponda show ya Diamond Plutnumz

Mwijaku, Aiponda show ya Diamond Plutnumz

Aloooh! Wakati wengine wakimsifia Diamond kwa kupeperusha bendela ya Tanzania katika matamasha mbalimbali anayo yafanya ambapo hivi karibuni akiwa katika show yake kubwa ya Afronation inayofanyika Ureno, lakinia sasa kwa upande wa Dc wa Instagram Mwijaku yeye amefunguka na kueleza kuwa Diamond Plutnumz bado mchanga katika kupaforme kwenye matamasha makubwa.

Aidha Mwijaku amefungua hayo na kusema kuwa “huwezi kuwa best performer kwa kupigia watu kelele na kuruka sarakasi, imba watu wanahitaji uimbe na ndio mana kapandishwa stagen mchana jua kali” amesema Mwijaku

Mmmmh! haya sasa wanangu wa mwananchi scoop wewe unamaoni gani kupitia kauli hii iliotolewa na Dc wa Instagram je unakubaliana nae kuwa Diamondi Plutnumz ni mchanga katika kuperform.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags