REMA; Mimi bikra wa kiume

REMA; Mimi bikra wa kiume

Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, wewe tena nanii ukiendelea kuchakaza mabinti wawatu huku kitaani kwenu huku  mitandaoni bwana rapper kutoka nchini Nigeria Rema amewashangaza watu baada ya kutoa kauli ya kuwa yeye ni bikra wa kiume na hakuna wa kupingana nae maana hakuna mwenye ushahidi.

Licha ya kuweka wazi kuwa yupo kwenye mahusiano kijana huyo alifinguka kupitia mtandao wake wa kijamii wa twiter na kueleza kuwa “I’m a Virgin, y’all have no proof against this statement’’ Amesema Heisrema

Weeeeeh! Haya mabikra wenzake na Rema haya jitokezeni kwa kudondosha komenti zenu hapo chini au niiwaache kidogo mana sio shida zenu.






Comments 2


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags