Wema Amnawa Mange Kimambi

Wema Amnawa Mange Kimambi

Na Aisha Lungato

Make hapo kwanza nchekee bwana!! kwenye gumzo mitandaoni leo mambo yalikuwa simambo waswahili wanasema kimeumana huko yule mlimbwende wa mwaka 2016 ameamua kumuondolea uvivu mwanadada Mange kimambi kupitia ukurasa wake wa instagram, nakuachia ujumbe huu mzito.

"Afu na wewe unaejiita Dada wa Taifa skia nikwambie Manunu mkubwa wewe ... Sikuogopi, Sijui unanielewa, Aliekwambia naboost follower’s nani..?? Kwanza lini nimetaka hata hao follower’s au nimejaribu kupata followers

Naona nakukosesha raha kweli. Haya nikipitwa followers nitakufa au cha ajabu ni nini, Yaani Unanifatilia too much. Nimekuchoka..!!! Imekuwa too much sasa na ki app chako uchwara..... Unatia aibu wewe, Ndugu ukitaka nikupe hii account pia naweza kukupa inakupa presha.

Yaani umenichekesha kweli aisee.... Mimi, nataka kuboost followers...??? Mmmmh wonders shall never cease...!!! Basi sawa... kapeleke na haya matunda kwa app yako.... Kichwa chako kama njegere...!!!! Ebu niache mie kwanza naumwa.... Firigisi iliokosea kuoshwa vizuri wee...!!!!

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags