Ben Affleck na Jennifer Lopez wafunga ndoa chini chini Las Vegas

Ben Affleck na Jennifer Lopez wafunga ndoa chini chini Las Vegas

Waigizaji maarufu nchini Marekani, Jennifer Lopez na Ben Affleck wamefunga ndoa mjini Las Vegas nchini humo ikiwa ni miaka 17 baada ya kusitisha uchumba wao wa kwanza.



Wawili hao walikutana mwaka 2002 katika maandalizi ya filamu ya Gigli na baadaye kuchumbiana 2003 lakini walivunja uchumba huo mwaka uliofuata hadi habari za wanandoa hao kurudiana zilipoanza kusambaa mwaka jana na wenyewe kuanza kuonyesha hadharani mapenzi yao yaliyofufuliwa kwenye mitandao ya kijamii.



Kabla ya kurudiana, Lopez alikuwa katika penzi zito na JRod, ambapo wengi walidhania mahusiano hayo yangezaa matunda, kwani JRod alipata zali la mentali la kudate na crush wake wa udogoni. Wawili wao walikuwa engaged.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags