09
Mtengeneza maudhui aliyejikondesha ashangaza wengi
Mtengeneza maudhui wa Marekani Nicholas Perry, ‘Nikocado Avocado’, ambaye amejizolea umaarufu kutokana na maudhui yake yanayohusu chakula kwenye mtandao wa YouTube...
02
Kundi la P-square lasambaratika kwa mara nyingine
Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria Paul Nonso Okoye ‘Rudeboy’ amethibitisha kuwa kundi la P-Square limegawanyiuka kwa mara nyingine.Tudeboy amelithibitisha kusamba...
04
Hiki ndiyo kimemfanya Barnaba kuhamia kwenye filamu
Mwanamuziki Barnaba Classic ambaye kwa sasa ni mwigizaji wa filamu ya Mawio inayorushwa Azam Tv amesema kuwa kabla ya kuanza muziki alikuwa mwigizaji “Nilikuwa mwigizaji...
18
Portable amtolea povu Davido
Mwanamuziki wa Nigeria, #Portable, amemtolea povu mkali wa Afrobeat Davido kwa kudai kuwa msanii huyo alimtumia vibaya kwa ajili ya kutafuta umaarufu na kumuacha bila msaada w...
15
Fainali za NBA 2024 zaweka rekodi
Fainali za mpira wa kikapo Marekani NBA zimeripotiwa kuweka rekodi mpya ya bei ghali za ‘tiketi’ tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011 ambapo kwa sasa ‘tiketi&rs...
03
Mr Ibu bado hajazikwa, kamati yaomba msaada
Baada ya kutangaza tarehe ya mazishi ya mwigizaji kutoka Nigeria Mr Ibu, mwenyekiti aliyeteuliwa kusimamia mazishi ya mwigizaji huyo Monday Diamond A. JP (Odoziobodo) ametoa w...
27
Miwani zenye saini ya Diddy zasitishwa kuuzwa
Kampuni ya America's Best Contacts & Eyeglasses imeripotiwa kusitisha kuuza fremu za miwani zenye saini ya Diddy kutokana na kuhusishwa kwenye kesi kadhaa za unyanyasaji w...
21
Kesi ya Yak Gotti na uwezekano wa kusikilizwa hadi 2027
Wakati kesi ya ‘rapa’ Deamonte Kendrick, maarufu kama Yak Gotti, ikiendelea kurindima mahakamani, Mawakili wake E. Jay Abt, Douglas Weinstein, pamoja na Katie A. H...
07
Ahama kwa wazazi na kwenda kuishi kwenye treni
Kijana mmoja kutoka nchini Ujerumani aitwaye Lasse Stolley (17) anadaiwa kuhama kwa wazazi wake na kwenda kuishi katika treni za ‘Deutsche Bahn’ kwa mwaka mmoja na...
02
Utafiti: Asilimia 52 ya wahitimu wanafanyakazi ambazo hawajasomea
Kulingana na ripoti iliyotolewa na kampuni ya utafiti wa data ‘Burning Glass Institute and Strada Education’ imeeleza kuwa asilimia 52 ya wanafunzi waliohitimu Deg...
17
Mfahamu mwanaume mwenye uraibu wa kula mifuko ya plastiki
Wakati baadhi ya watu wakisumbliwa na uraibu wa vilevi ulevi, sigara na vitu vingine, mfahamu mwanaume mmoja aitwaye Robert mwenye umri wa miaka 32 kutoka Oakland, nchini Mare...
30
‘Kipa’ Kelleher kuvaa viatu vya Becker
Kocha wa ‘klabu’ ya #Liverpool #JurgenKlopp amethibitisha kukosekana kwa mlinda mlango #AllisonBecker kwa wiki kadhaa baada ya kupata jeraha la misuli ya paja kati...
14
TFF hawana mzaha, Sasa zamu ya Singida FC
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewafungia kusajili wachezaji, ‘klabu’ ya Singida Fountain Gate inayoshiriki ‘ligi’ kuu ya NBC kwa kosa l...
04
Burna Boy kulipa blog ziache kuandika habari zake
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy ameweka wazi kuwa atalipa blog yoyote nchini humo, ili ziache kuandika story zinazo muhusu. Kupitia ukurasa wake wa X ame-sha...

Latest Post