13
Apeleka mtoto mchanga kwa Mganga
Kutoka mkoani Kagera ambapo Jeshi la Polisi Mkoani humo  linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za kuiba Mtoto mchanga wa mwezi mmoja na kisha kwenda naye kwa Mganga wa ...
13
China yalegeza masharti ya kukabiliana na UVIKO-19
China imetangaza kusitisha kampeni yake ya kupambana na maambukizo mapya ya UVIKO-19 kwa kusimamisha programu ya simu za mkononi inayofuatilia maambukizo hayo.  Hatua hiy...
13
Waziri: Ajira vyuo vikuu kutozingatia ufaulu pekee, waombaji wafanyiwe usaili
Serikali imetangaza kuongeza vigezo vya Utoaji Ajira vyuoni badala ya kuangalia ubora wa Ufaulu (GPA), sasa waombaji watapimwa kwa...
13
Mapacha tisa waliozaliwa kwa wakati mmoja wamerejea salama nchini kwao
Mapacha tisa pekee duniani - watoto waliozaliwa kwa wakati mmoja - wamerejea salama nchini kwao Mali.Wazazi na watoto hao tisa wal...
12
Miili 27 yatupwa kando ya barabara nchini Zambia
Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji Haramu wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya Barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji wa ...
12
Wanawake watatu wauawa kwa risasi katika mgahawa
Tukio hilo limetokea huko Italia ambapo inadaiwa kuwa mtuhumiwa wa mauaji hayo aliingia katika mgahawa uliopo Jijini Rome na kufyatua risasi ambazo pia zilijeruhi wengine wann...
12
Auwawa kwenye maandamano ya kupinga serikali mpya Peru
Taarifa kutoka nchini Peru ambapo Maandamano dhidi ya serikali mpya nchini humo  yameendelea kuutikisa mji mkuu, Lima, huku mvulana mmoja akiuawa. Aidha Waandamanaji wali...
09
Indonesia, watu sita wamefariki baada ya mlipuko uliotokea mgodini
Watu 6 nchini Indonesia wamekufa na wengine wawili wamejeruhiwa leo baada ya mlipuko uliyosababishwa na gesi kwenye mgodi wa makaa ya mawe Magharibi mwa Indonesia katika mkoa ...
11
Jinsi ya kupambana na upendeleo mahali pa kazi
Habari kijana mwenzangu karibu sana kwenye ukurasa wa Makala za kazi, ujuzi na maarifa bila shaka kupitia dondoo hizi unapata mengi Zaidi yakujifunza kwenye masuala ya kikazi....
10
Vyakula vitakavyo kufanya uzeeke mapema
Hellow! Niaje wanangu wa nguvu leo bwana katika afya tumeona tuje na mada ambayo ni fupi lakini utapata kujifunza vyakula gani ambavyo ukiviendekeza kuvitumia kwa muda mrefu b...
09
Uhispania yamtimua kocha Luis Enrique
Timu ya taifa ya Uhispania imemfuta kazi Luis Enrique baada ya nchi hiyo kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia kwa kufungwa na Morocco hatua ya 16 boraUhispania ambayo pi...
09
Tiktok yashtakiwa kwa kosa la kuingilia taarifa binafsi za mtumiaji
Mtandao maarufu dunia Tiktok umeshtakiwa kwa kupotosha kuhusu ulinzi wa taarifa binafsi ambaapo mwanasheria mkuu wa jimbo la ...
08
Kesi 35 za Ukatili wa kijinsia zafikishwa Mahakamani Katavi
Jumla ya kesi 35 za ukatili wa kinjinsia na unyanyasaji wa watoto Mkoani Katavi zilipata mafaniko mahakamani katika kipindi cha mwezi Januari hadi Novemba 2022 ukilinganisha n...
08
Kobe mzee duniani asheherekea kutimiza miaka 190
Kobe mwenye umri mkubwa zaidi duniani alietambulika kwa jina la Jonathan amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 190. Jonathan anadhaniwa kuzaliwa mwaka 1832 n...

Latest Post