05
Hatma ya Ramaphosa kujulikana leo
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema hatma yake itatokana na uamuzi wa Halmashari Kuu ya Chama tawala (NEC) kutokana na tuhuma anazokabiliana nazo. Ramaphosa ambae pi...
05
Johannesburg mafuriko yauwa watu 9
Mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa nchini Afrika Kusini yamesababisha vifo vya watu tisa(9) waliokuwa wakishiriki ibada za kidini mjini Johannesburg. Kitengo cha kukabiliana ...
05
Wema aumizwa na wanaomsema kisa kukosa mtoto
Oooooooooh! Naona kama tunaanza week kibabe hivi wanangu sana, basi bwana yule Tanzanian sweetheart ameamua kutoa povu kuhusiana na baadhi ya watu wakizungumza kuhusu kukosa m...
02
Roboti wakwanza wa kiafrika kuzinduliwa leo Nigeria
Kundi la Makampuni ya Uniccon limesema linatazamia kuzindua roboti ya kwanza barani Afrika yenye sura ya binadamu inayoitwa ‘Omeife’, nchini Nigeria. Mkurugenzi M...
02
Ampiga mbunge mwenzake wakati bunge likiwa live
Vurugu zilizuka katika bunge la Senegal siku ya Alhamisi baada ya mbunge mwanamume kumpiga mwenzake wa kike kichwani wakati wa bunge. Tukio ambalo lilionyeshwa moja kwa moja (...
04
Myths kuhusu maisha ya chuo
Hahhahaha! Make hapa kwanza ncheke, natumai ni wazima wa afya watu wangu wa nguvu, leo basi katika UniCorner tumekuja na mada konki kabisa, I hope wengi wenu itawajenga zaidi ...
04
Jinsi ya kukiri makosa yako mahali pa kazi
Yes, ni wiki nyingine tena ambapo tunakutana kupitia kipingele cha makala za kazi, ajira, ujuzi na maarifa kwa ajili ya kujifunza mambo mengi zaidi yanayohusu sector hii ya aj...
03
MUKANSANGA: Refa wa kike aliyefungua milango nchini Qatar
Eiwaaaah, karibu sana mdau na mfuatiliaji wa magazine ya Mwananchi Scoop kama kawaida kwenye anga za michezo na burudani wiki hii tumekuandalia jambo kubwa litakalo kusisimua ...
03
Vyakula vinavyoimarisha afya ya ngozi
Hellow, its another day, kama kawaida yetu kupitia kipengele chetu pendwa kabisaa cha Fashion ili kuweza kujua mambo kadha wa kadha yanayohusu upande wa urembo bwana. Leo tuta...
02
BATA BATANI: Delight in Bali
Alright my traveling and adventure peeps. Ni wiki nyingine tena tunakutana hapa katika segment ya BATA BATANI. Basi bwana, wiki hii nipo nchini Indonesia, mji unaitwa BALI. Ba...
02
Wafanyakazi wa kiwanda cha Dangote watekwa
Hii imetokea huko nchini Ethiopia ambapo waasi ambao inadaiwa wana uhusiano na kikundi cha Oromo Liberation Army wamelaumiwa kuhusika katika tukio hilo la utekaji wa...
01
Lukamba ampa Cecy talaka tatu
Alooooweeeh! Alooootenaaah! Bwana bwana naona kama disemba imeanza kibabe ama nini maana sio pouwa huko mjini Instagram kumekuwa kwamoto sana kutokana na mastory makubwa makub...
01
Asilimia 95 ya wakimbizi waliopo kasulu hawataki kurejea Burundi
Kutoka Kigoma Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, Siasa Manjenje, amewambia Viongozi wa Serikali ya Burundi na Tanzani kuwa hofu ya Usalama, ukosefu wa Ardhi, M...
01
Vituo 24 vyafungiwa baada ya kufanya udanganyifu
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya kufanyia mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga ...

Latest Post