Apeleka mtoto  mchanga kwa Mganga

Apeleka mtoto mchanga kwa Mganga

Kutoka mkoani Kagera ambapo Jeshi la Polisi Mkoani humo  linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za kuiba Mtoto mchanga wa mwezi mmoja na kisha kwenda naye kwa Mganga wa kienyeji amloge Mtoto huyo ili Mtoto huyo asijegundua kwamba Mwanamke huyo sio Mama yake Mzazi.

“Tunawashikilia Watu watano kwa tuhuma za wizi wa Mtoto na tumefanikiwa kumpata yule Mtoto mchanga wa mwezi mmoja, baadhi ya Watuhumiwa hao walimpeleka Mtoto huyo kwa Mganga na kisha Mwanamke huyo kupanda basi kuelekea Dar es salaam ambapo alipogundua kwamba tunamfuata akatutoroka tena kurudi Dodoma” Polisi wamesema.

Aloooh unaweza kudondosha comment yako kuhusiana na sakata hilo bwana aiseee dunia imekwisha kabisaa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags