18
P Diddy anyimwa dhamana kesi ya uhalifu wa kingono
Mwanamuziki wa Marekani, Sean "Diddy" Combs, anayekabiliwa na mashtaka ya uhalifu wa kingono, anaendelea kuzuiwa kutoka mahabusi hadi kesi yake itakaposikilizwa tena.Hakimu wa...
23
Diddy anamchango wake kwenye mtandao wa X
Mkali wa Hip-hop Marekani Diddy ametajwa kuwa ni mmoja wa wawekezaji waliomsaidia Elon Musk kununua mtandao wa X (zamani twitter) mwaka 2022.Kwa mujibu wa tovuti ya Tmz imeele...
01
Man United mbioni kumtangaza mkurugenzi mpya
Klabu ya #ManchesterUnited inajiandaa kusaini nyaraka kwa ajili ya kumtangaza Dan Ashworth kama Mkurugenzi wa Michezo kutoka klabu ya Newcastle United baada ya vilabu hivyo ku...
26
Elon Musk ahudhuria harusi ya Ex wake
Mmiliki wa mtandao wa X (zamani Twitter) na mfanyabiashara Elon Musk ameripotiwa kuwa na maelewano mazuri na aliyekuwa mke wake Talulah Riley hii ni baada ya kuonekana kwenye ...
18
Mbappe arudishwa kambini, Kuvaa ‘maski’
Shirikisho la ‘soka’ la Ufaransa ‘FFF’ limethibitisha kurejea kambini kwa Nahodha na Mshambuliaji wa ‘timu’ ya taifa ya nchi hiyo Kylian Mb...
17
Mourinho amuwinda beki wa Man United
Kocha wa klabu ya Fenerbahce, Jose Mourinho ameripotiwa kuiwinda huduma ya beki wa Manchester United, Victor Lindelof ili kuimarisha kikosi chake msimu wa 2024/25. Tovuti ya S...
12
Priske achukua mikoba ya Slot
Klabu ya Feyenoord kutoka Uholanzi imemteua Brian Priske kuwa kocha mkuu katika kikosi hicho akichukua mikoba ya Arne Slot aliyetimkia klabu ya #Liverpool. Priske mwenye umri ...
12
Musk aipinga Apple kutumia akili bandia
Mmiliki wa mtandao wa X zamani (Twitter) #ElonMusk amepinga kampuni ya Apple kutumia mfumo wa akili bandia (AI) kwenye iPhone na vifaa vyingine. Musk ameweka wazi kuwa hakubal...
12
Skales amchana wizkid
Rapa wa Nigeria #Skales amemtolea povu mkali wa Afrobeats #Wizkid baada ya kudai kuwa muziki wa Hip-hop umekufa. Skales ametoa povu wakati alipoulizwa swali juu ya Wiz kudai m...
30
Aziz Ki humwambii kitu kuhusu mpira wa kikapu
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Yanga Aziz Ki siku ya jana Mei 29, 2024 alitembelea klabu ya mpira wa kikapu ya Dar City Basketball na kufanya nao mazoezi huku akiweka wazi...
29
Tyson Fury na Usky kuzichapa tena
Bondia Tyson Fury na Oleksandr Usyk ambao walizichapa wiki chache zilizopita wanatarajia kupanda tena ulingoni Desema 21, 2024.Taarifa ya pambano hilo imethibitishwa leo Mei 2...
08
Thiago kurudisha majeshi Fluminense FC
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #PSG, #ThiagoSilva ameamua kurudi kwenye ‘ligi’ kuu ya #Brazil baada ya kuthibitisha kuondoka katika klabu ya #Chelsea...
04
Dada atapeliwa na Elon Musk feki
Mwanamke mmoja kutoka nchini Korea Kusini aliyejulikana kwa jina la Jeong Ji-sun, ametapeliwa kiasi cha dola 50,000 ikiwa ni zaidi ya Sh 129 milioni na mtu alitumia Akili Band...
03
Muundo wa kituo cha treni wazua gumzo
Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini China wamestaajabishwa na muundo wa kituo kipya cha treni, kituo hicho kufananishwa na taulo za kike (pedi).Muundo huo uliyopendekezwa ...

Latest Post