Mwanamuziki wa Nigeria Paul Okoye ‘RudeBoy’ wa P-Square amesema pacha wake Peter ‘Mr P', ndiye aliyehusika kumuweka gerezani kaka yao mkubwa Jude Okoye. Aliy...
Kwenye ulimwengu wa mapenzi, inaonekana nyota wengi wa mpira wa miguu wanavutiwa zaidi na wanamitindo. Na hii siyo tu kwa Aziz Ki ambaye Februari 16, 2025 alifunga ndoa na mwa...
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la ‘Archives of Behavior’ umebaini kuwa wanaume wenye ndevu ni waaminifu huku wakiripotiwa kudumu kwenye mahusian...
Baada ya kutifuana kwa miezi kadhaa katika mitandao ya kijamii wanamuziki kutoka Nigeria ambao pia ni mapasha Peter na Poul Okoye waliounda kundi la Psquare sasa wamehamishia ...
Mwanamitindo Judith Peter anatarajia kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss Universe 2024 yanayotarajia kufanyika nchini Mexico.Mshindi huyo wa Miss Universe Tanzania...
Mwanamuziki wa Dansi nchini Charles Gabriel Mbwana 'Chaz Baba' amefunguka kuwa jina analotumia sasa ambalo watu wanalitambua alipewa na aliyewahi kuwa mwanamuziki nyota wa dan...
Mwanasiasa kutoka nchini Nigeria, Peter Obi ameripotiwa kuingilia kati ugomvi wa wanamuziki Paul na pacha wake Peter Okoye, hii ni baada ya kuonekana nyumbani kwa RudeBoy siku...
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria, Paul Nonso Okoye ‘Rudeboy’ kuweka wazi kuwa kundi la P-Square limesambaratika kwa mara nyingine, kwa upande wa Peter Okoye, &l...
Mwanamuziki wa Nigeria Rudeboy amemnawa mwanasiasa kutoka chama cha ‘All Progressives Congress’ Joe Igbokwe kutokana na maoni yake kuhusu ugomvi kati ya msanii huy...
Balozi wa mazingira nchini, Peter Msechu amesema wasanii wengi wamekuwa wakitunga na kuimba nyimbo nyingi zinazohusu mapenzi badala ya kuimba mambo ya msingi yenye maslahi kwa...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Peter Okoye a.k.a Mr P ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji wa kupandikizwa nywele uliyofanyika jijini Istanbul, nchini Uturuki.Kufuatia na video i...
Kufuatiwa kutangazwa kwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi, mastaa mbalimbali wameoneshwa kuguswa na msiba ...
Chef Peter Lammer ni mpishi maarufu kutoka nchini Ujerumani ambaye alipata ajali ya pikipiki mwaka 2010 akiwa na umri wa miaka 44 ambapo baada ya kupatiwa matibabu ya muda mre...