13
Ayra Starr, Tems vinara Spotify
Wanamuziki maarufu wa Nigeria, Ayra Starr na Tems wametangazwa kuwa mwaka huu nyimbo zao ndio zinasikilizwa zaidi kutokea nchini humo kupita Jukwaa la Spotify. Inaelezwa kuwa ...
07
Burna Boy: Hakuna anayeweza kuandika wimbo wa hadhi yangu
Mwanamuziki wa Nigeria, #BurnaBoy amedai kuwa hakuna mwandishi wa nyimbo anayeweza kuandika wimbo wa hadhi yake. Burna Boy ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa X (Zaman...
03
Ray C awagawa wasanii chipukizi Bongo
Ikiwa imepita siku moja tangu mwanamuziki wa zamani wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anaishi jijini Paris, Ufaransa Rehema Chalamila ‘Ray C’ kuwataka wasanii wenye u...
27
Megan athibitisha ujio wa album yake mpya
Rapper kutoka Marekani #MeganTheeStallion ametangaza ujio wa album yake mpya iitwayo ‘Megani’ inayotarajiwa kutoa siku ya kesho Ijumaa June 28, 2024. Megan amethib...
27
Davido na Chioma wasepa Nigeria
Baada ya mwanamuziki Davido kufunga ndoa na mkewe Chioma siku ya Jumanne Juni 25, 2024 na kutiki mji kufuatia na sherehe yao kuzungumzia ndani na nje ya Afrika, wanandoa hao w...
26
Baadhi ya Mastaa wakike Bongo wafurahishwa na uvumilivu wa Chioma
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria Davido kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Chioma siku ya jana Jumanne Juni 25, mastaa wakike mbalimbali kutoka Bongo wamempongeza Ch...
20
Ijue siri Komasava ya Diamond ilivyompa mzuka Chris Brown
Dar es Salaam. Ngoma mpya ya Diamond Platnumz, Komasava imeendelea kuteka mioyo ya mashabiki dunia na sasa supastaa wa Marekani, Chris Brown ameonekana akicheza wimbo huo kupi...
20
Swael Lee aomba kuingiza verse kwenye ‘Komasava’ ya Diamond
‘Rapa’ kutoka Marekani #SwaeLee amemuomba #DiamondPlatnumz amtumie wimbo wa #Komasava’ aliomshirikisha Chley na ...
20
Sura ya Rihanna kutumika kwenye manukato ya ‘Dior’
Mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, #Rihanna amepata shavu katika kampuni ya ‘Christian Dior’ inayojihusisha na masuala ya utengeneza nguo na urembo kwa kuteng...
20
Chris Brown akicheza ‘Komasava’ ya Diamond
Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown bado ameendelea kuonesha mapenzi yake kwenye ngoma za wasanii wa Afrika na sasa ameonekana akicheza ‘Komasava’ ya Diamond a...
19
Vanessa Mdee afanyiwa upasuaji wa jicho
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini ambaye kwasasa anaishi Marekani na mpenzi wake Rotimi ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji (Surgery) wa jicho na kuwa kwa sasa anaen...
19
Jason Momoa athibitisha kutoka kimapenzi na Adria Arjona
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na Mwigizaji wa Marekani Jason Momoa na Adria Arjona wanatoka kimapenzi, hatimaye Momoa amethibitisha tetesi hizo. Momoa amethibitisha kutoka ...
18
Mfahamu mwanaume mwenye watoto 165
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ari Nagel kutoka Brooklyn nchini Marekani kwenye siku ya baba duniani inayoadhimishwa kila mwaka Juni 16, amesheherekea siku hiyo kwa kupata...
18
Kizz Daniel adaiwa kuachana na mkewe
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Kizz Daniel ameripotiwa kuachana na mkewe, hii ni baada ya kufuta picha zote akiwa na mama watoto wake huyo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa K...

Latest Post