23
Kumbe Lile Tumbo La Nyigu Sio Mimba Ni Kitambi
Dansa maarufu Bongo, Angel Nyigu amezua gumzo mitandaoni baada ya kuonekana kuwa na tumbo kubwa kupitiliza.Kutokana na kitambi hicho mara moja kuna taarifa zilisambaa kwamba h...
23
Kuhusu Tyla Kuzimia Brazil, Ukweli Huu Hapa
Mashabiki duniani kote wamekuwa katika mshangao kuhusiana na tukio lililomtokea nyota kutoka Afrika Kusini, Tyla la kutolewa katika klabu ya usiku akiwa amebebwa huku akiwa ha...
23
Usiyoyajua Kuhusu Manyanya Wa Dunia
Mwigizaji wa tamthilia ya Dunia, Ally Mchonga ‘Manyanya’ amefichua kuwa mbali na uigizaji pia ni mwanamuziki na ameshawahi kutoa ngoma.Akizungumza na Mwanachi Scoo...
23
Kumbe Tupac alijaribu kumtongoza Lucy Liu
Mkongwe wa filamu Marekani, Bokeem Woodbine amedai kuwa marehemu rapa Tupac Shakur '2Pac' alimtongoza Lucy Liu wakati utayarishaji wa filamu yao, Gridlock’d (1...
22
Mgahawa Huu Usipomaliza Chakula Unachapwa Viboko
Kama umezoea kuacha chakula katika migahawa unayokwenda huku waandaaji na wahudumu wakichukulia jambo la kawaida, lakini hii ni tofauti kwa mgahawa mmoja kutoka Las Angeles, M...
22
Yammi Ajitosa Kwenye Singeli
Msemo wa msanii mkongwe wa Singeli Msaga Sumu, kuwa kila msanii wa nyimbo za aina nyingine ipo siku atakuja kuimba Singeli, umeanza kuonekana.Baada ya wasanii Zuchu, Jux, Diam...
22
D Voice Atuma Maombi Haya Kwa Waandaaji Wa Tuzo
Mwanamuziki wa singeli na Bongo Fleva nchini D Voice amewaomba waandaji wa tuzo za muziki nchini kuongeza vipengele kutokana na muziki wa singeli kukua.Kupitia ukurasa wake wa...
22
Wanaohofia Kuoa Wamshangaza Jux
Mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux amesema katika vitu ambavyo hajawahi kujutia ni uamuzi wa kumuoa Priscilla Ajoke Ojo na kufunguka kuwa ana furaha ya kuwa na mke sa...
22
Baada Ya Miaka Mitatu Chioma Arudi Tena Mitandaoni
Baada ya ukimya mrefu, hatimaye Chioma Avril Rowland, mke wa staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido, amerudi tena kwenye mitandao ya kijamii.Chioma alionekana tena Instagram Ag...
21
Sharon Azikwa Nyumbani Kwao Pugu
Elizabeth Edward na Harrieth MakwetaSafari ya siku 19,154 za maisha ya mwanahabari Sharon Sauwa imehitimishwa leo kufuatia maziko yake yaliyofanyika katika Makaburi ya familia...
21
Je Wajua, Sehemu Alipozikwa Genghis Khan Hapajulikani Hadi Leo
Genghis Khan, alizaliwa Temüjin mwaka 1162 nchini Mongolia, alikuwa kiongozi shupavu wa kijeshi na mjenzi wa dola kubwa zaidi duniani. Akifariki dunia mwaka 1227, lakini ...
21
Aweka Rekodi Kutengeneza Kanzu Yenye Mikono Mirefu Zaidi
Mbunifu chipukizi kutoka Nigeria, Samuel Chinecherem Ezeh, mwenye umri wa miaka 27 ameweka rekodi ya kutengeneza kanzu yenye mikono mirefu zaidi dunaini ikiwa na urefu wa mita...
21
Blue Ivy Amewazidi Mastaa Kwa Tuzo
Waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka na hili limejidhihirisha kwa mtoto wa mastaa Beyoncé na Jay-Z, Blue Ivy Carter ambaye ameonyesha ukubwa wake akiwa na umri wa...
20
Mj Alitumia Mapigo Ya Moyo Kwenye Wimbo Smooth Criminal
Unafahamu kuwa Michael Jackson alitumia mapigo ya moyo kama mdundo kwenye wimbo ‘Smooth Criminal’ uliotoka mwaka 1987 ndani ya albamu ya Bad.Inaelezwa kuwa kwa msa...

Latest Post