29
Mfahamu kikongwe anayetibu na kusafisha macho kwa ulimi
Na Asma Hamis Wakati baadhi ya watu wakienda kwenye vituo vya huduma za afya kupatiwa matibabu ya macho pale yanapopata matatizo, hiyo ni tofauti katika kijiji cha Crnjev...
23
Kikongwe anayeutikisa ulimwengu wa mitindo
Kama umeshawahi kukutana na picha za kikongwe huyo na ukajidanganya kuwa huenda zikawa ni picha zilizotengenezwa na AI (Akili Bandia), basi utakuwa unajidanganya kwani huyu ni...
21
Kikongwe zaidi duniani apoteza maisha
Mwanamke aitwaye Maria Branyas Morera kutoka Hispania ambaye alikua akishikiria rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kuwa binadamu mzee zaidi amefariki akiw...
09
Zanzibar Reggae Festival kuanza leo
Tamasha kubwa la muziki wa Rege (Reggae) Zanzibar msimu wa Sita linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia leo usiku Agosti 9-10, 2024, Mambo Club ndani ya Ngome Kongwe, Un...
08
TBT za mastaa ni hamasa kwa mashabiki
Kila ifikapo siku ya Alhamisi watu hupamba mitandao ya kijamii kwa picha na video za matukio yaliyopita. Matukio hayo hugusa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye michezo, familia ...
04
Gara B, Dokta Cheni wanavyobamba na nyimbo za wasanii wakongwe
Ukisikia cha kale dhahabu ndiyo hiki, kwa sasa kwenye sherehe kama vile harusi, 'Send Off' na 'Kitchen Party' siyo ajabu kusikia ngoma za zamani zikipigwa na wageni waalikwa w...
05
Mkongwe wa Pop Uingereza atabiri kifo chake
Mkongwe wa nyimbo za Pop nchini Uingereza, Spandau Ballet Martin Kemp (62) amedai kuwa amebakiza miaka 10 ya kuishi baada ya kuteseka na uvimbe kwenye ubongo. Kwamujibu wa Tov...
09
Mkongwe wa soka afariki dunia
Mkongwe wa soka nchini Ujerumani Franz Beckenbauer mwenye umri wa miaka 78 anayetambulika kama moja ya wachezaji bora kuwahi kutokea nchini humo, amefariki dunia. Franz aliwah...
03
Kuku mkongwe zaidi dunia amekufa akiwa na miaka 21
Kuku mwenye umri mkubwa zaidi ambaye alikuwa akishikiria rekodi ya dunia ya Guinness amekufa akiwa na umri wa miaka 21 na siku 238. Kwa mujibu wa Guinness imeripoti kuwa imepo...
16
Bibi wa miaka 93 asema uzee siyo kosa wanawake wasiogope
Bibi wa miaka 93 aitwaye Licia Fertz mwenye ushawishi mkubwa katika mitandao ya kijamii anajaribu kubadilisha mawazo na mitazamo ya wanawake wengi ambao wanaogopa kuzeeka kwa ...
14
Kocha mkongwe awakosoa makocha wa kizazi kipya
‘Kocha’ mkongwe wa ‘klabu’ ya #RealMadrid, #CarloAncelotti amedai kuwa ‘makocha’ wa kizazi kipya wanafanya makosa kwa wachezaji wao kwenye ...
08
Sabaha: Watoto wangu wanatamani niache muziki
Msanii mkongwe wa muziki wa taarabu #SabahaSalum amedai kuwa watoto wake wanasauti nzuri ya kuimba lakini hawapo tayari na wanaomba Mungu aache kuimba taarabu. Akizungumza na ...
19
Muigizaji mr Ibu aeleza kukatwa miguu, Aomba msaada
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Nigeria, John Ikechukwu, maarufu kama Mr Ibu ameweka wazi kuwa anapambana na ugonjwa unaotishia maisha yake huku akiwaomba watu kumsaidia pesa ...
15
Baada ya kucheza filamu zaidi ya 160, Michael Caine astaafu kuigiza
Muigizaji mkongwe kutoka nchini  Uingereza Michael Caine ambaye  aliye wahi kuigiza filamu zaidi ya 160 atangaza kustaaf...

Latest Post