Baada ya kuandamwa na kesi takribani nane kuhusiana na unyanyasaji wa kingono, mkali wa Hip-hop wa Marekani Diddy ameripotiwa kufanyiwa uchunguzi na familia ya Marehemu Tupac....
Na Aisha Charles
Katika kutafuta njia ya kupambania ndoto zako ukiwa chini ya uangalizi wa wazazi hasa ukiwa unawategemea kwa kila kitu lazima kutakuwa na mashaka, mzazi au ml...
Mfalme wa Pop kutoka Marekani Michael Jackson ameripotiwa kuacha deni la dola 500 milioni ikiwa ni sawa na Sh 1.3 Trilioni Mahakama Kuu ya Kaunti ya Los Angeles imesema.Kwa mu...
Mwigizaji kutoka nchini India, #PriyankaChopra amempa pongezi mumewe #NickJonas na watu wengine walioshiriki kumlea binti yake Malti kwa wakati alipiokuwa katika kazi yake ya ...
Familia ya aliyekuwa mwanamuziki na dancer kutoka Afrika Kusini marehemu #CostaTitch wametoa taarifa rasmi ya sababu ya kifo cha mwanamuziki huyo.
Tovuti ya The Express Tribun...
Baada ya ukimya wa wiki kadhaa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar amerudi tena mjini akiwa na ngoma mpya ambayo ameitoa kwa ajili ya kumjibu Drake.
Ngoma...
Familia ya marehemu rapa Tupac ipo kwenye mpango wa kumfungulia mashitaka mwanamuziki Drake baada ya kutumia AI (akili bandia)kutengeneza sauti ya Tupac katika ngoma yake aliy...
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu mahakama nchini Afrika Kusini kumtaja mfanyabiashara, Sydney Munda Gcaba kuwa ndiye aliyewalipa Sh 109 milioni watuhumiwa sita wa mauaji ya al...
Familia ya marehemu mfalme wa Pop kutoka nchini Marekani Michael Jackson (MJ) imeripotiwa kuwa na mgogoro wa mali baada ya mtoto wa mwisho wa MJ, Bigi Jackson maarufu kama MJ ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya #Meta, #MarkZuckerberg ameomba radhi kwa familia zinazodai watoto wao waliathiriwa na maudhui ya mitandao ya kijamii.
Zuckerberg ambaye anami...
‘Rapa’ wa Kimarekani 21 Savage, amefunguka na kuweka wazi kuwa familia za kimaskini ni bora kuliko familia za watu wenye uwezo.Savage ameyasema hayo wakati wa maho...
Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini Mbongeni Ngema, ambaye ndiye muandishi wa wimbo wa ‘Sarafina’ amefariki katika ajali ya gari Jumatano jioni akiwa na umri w...
Utafiti wa ubongo wa mbwa uliofanya kwa njia ya vipimo vya MRI na Chuo Kikuu cha Emory umebaini kuwa mbwa hunasa haraka harufu ya binadamu kuliko harufu nyingine, hivyo unaone...