21 Savage anaamini katika familia masikini

21 Savage anaamini katika familia masikini

‘Rapa’ wa Kimarekani 21 Savage, amefunguka na kuweka wazi kuwa familia za kimaskini ni bora kuliko familia za watu wenye uwezo.

Savage ameyasema hayo wakati wa mahojiano yake na Shannon Sharpe katika podcast ya ‘Club Shay Shay’ ambapo alieleza kuwa yeye anaamini kuwa wazazi walio na uwezo mdogo wa kifedha wanaweza kuwa na muda mrefu wa kukaa pamoja na watoto wao, jambo ambalo analithamini sana.

Hii inakuja baada ya maisha yake ya kazi kumfanya ahisi kuwa kazi yake wakati mwingine inamzuia kuwapa muda wa kutosha watoto wake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags