Wanasayansi kutoka Japan wako mbioni kuzindua roboti lenye ngozi hai ambalo litakuwa na uwezo wa kucheka pamoja na kutabasamu kama binadamu.Ubunifu huo ulioongozwa na watafiti...
Polisi nchini #China wamezindua kifaa aina ya roboti ambacho kinauwezo wa kuhamisha magari yaliyoegeshwa vibaya.Kifaa hicho ambacho kilipewa jina la ‘#Valet’ kinau...
Kampuni ya Makerlabs Edutech imezindua roboti wa kwanza mwalimu aitwaye Iris ambaye atafundisha katika shule ya Kerala, pamoja na Shule ya Sekondari ya Juu ya KTCT, Thiruvanat...
‘Roboti’ wa kwanza wa kiume kuzinduliwa nchini Saudi Arabia aitwaye Muhammad azua gumzo kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumpapasa ripota wa kike wa runinga ya...
Imeripotiwa kuwa mgahawa wa kwanza duniani unaoendeshwa na roboti umefunguliwa jijini California nchini Marekani ambapo ‘roboti’ hufanya kazi ya kutaarisha baga, k...
Mhandisi wa programu wa #Tesla kutoka nchini Marekani mbaye jina lake halijawekwa wazi amepata majeraha mkononi na mgongoni baada ya kushambuliwa na ‘roboti’ kweny...
Kampuni ya utegenezaji roboti nchini China, imeunda roboti ya H1 (humanoid), inayosifiwa kuwa ndiyo roboti inayoongoza kuwa nguvu zaidi duniani kati ya roboti zote zenye sura ...
Roboti za AI zawashangaza mashabiki wa ‘soka’ baada ya kufika kwenye uwanja wa SoFi katika msimu wa kwanza wa NFL kushuhudia mchezo kati ya Los Angeles Chargers dh...
Kongamao la Dunia la ‘Roboti’ mwaka 2023 (WRC 2023), limeanza siku ya jana na linatarajiwa kumalizika Agosti 22,mjini Beijing nchini China linaendelea kufany...
Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya Wiki moja iliyopita. ...
Watu Zaidi ya 150 wamefariki baharini baada ya boti waliopanda kupinduka njiani, ambapo walikuwa wanatoka kwenye sherehe ya harusi. Hadi sasa kuna Watu 150 waliofariki na za...
Boti ya watalii nchini Misri iliokuwa imebeba jumla ya watu 27, miongoni mwao wakiwa watalii 15 wa Uingereza imewaka moto ikiwa baharini.
Vyombo vya habari nchini humo vimerip...
Ebhana!! wakati utandawazi ukichukua nafasi kubwa duniani katika vitu mbalimbali huku tunaona mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina Rosanna Ramos mwenye...
Nchi ya Tanzania imepata Mkopo wa Dola za Marekani Milioni 300 ambapo ni takribani billion 700 kwa pesa za kitanzani kwa ajili ya kuchochea uzalishaji, kuimarisha sekta ya kil...